Kiongozi wa chama chenye msimamo wa Kihafidhina
nchini Iran, Hassan Rouhani, ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais
nchini Iran.
Wizara hiyo imesema kuwa, idadi kubwa ya raia wa nchi hiyo walijitokeza kupiga kura kiwango ambacho kinakadiriwa kuwa asilimia sabini na tatu ya watu waliosajiliwa.
Mayor wa mji wa Tehran, Mohamad Baqar Qalibaf, alimaliza katika nafasi ya pili.
No comments:
Post a Comment