Wachezaji wa Orlando Pirates.
Shirikisho la mchezo wa soka barani Afrika CAF linatarajiwa kutoa droo ya ruandi hiyo ya mchuzo wiki ijayo.
Nchini Burundi, Kilabu ya Lydia Liduc Academi, imefuzu kwa raundi ya mchujo wa kuwania kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kuishinda timu kongwe ya Asec Mimosa d' Abidjan ya Cote d Ivoire katika raundi ya pili ya fainali za kombe hilo.
Lydia Lidic imekuwa ni timu ya kwanza kutoka Burundi kufikia hatua hiyo kwa zaidi ya miaka 22. Na ni timu pekee ya Afrika ya Mashariki na Kati iliosalia kwenye mashindano hayo.
No comments:
Post a Comment