Canada imeeleza kuwa ni
jambo la kuchusha sana kuwa Sri Lanka itaruhusiwa kuandaa mkutano wa
viongozi wa nchi za Jumuia ya Madola baadae mwaka huu.
Alisema kuna ushahidi mzito na unaozidi kwamba ulitokea uhalifu wa kivita mwisho wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Sri Lanka, na serikali haikufanya juhudi za kutosha kupatana na jamii ya kabila la Tamil.
Serikali ya Sri Lanka imeagiza uchunguzi wake yenyewe kuhusu tuhuma za uhalifu wa kivita.
No comments:
Post a Comment