Somalia ina idadi kubwa ya vifo vya watoto duniani.
Shirika la afya duniani ndilo linatoa chanjo hizo kwa ushirikiano na shirika la kuwahudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF.
Somalia ni moja ya nchi zenye mpango duni wa kutoa chanjo kwa watoto pamoja na kuwa nchi yenye idadi kubwa ya vifo vya watoto duniani.
Wataalamu wansema kuwa mmoja kati ya watoto watano, hufariki kabla ya kufikisha miaka mitano hali inayotokana na mfumo mbaya wa afya ambao umezoroteshwa na otovu wa usalama.
No comments:
Post a Comment