Mizoga ya wanyama ambao wenyeji wanasema wameuawa na silaha za kemikali.
Kwa mara ya kwanza kabisa Israel imeituhumu Syria hadharani kuwa
inatumia silaha za kemikali kupigana dhidi ya waasi nchini humo.
Amesema silaha hizo za kemikali huenda zinajumuisha sumu hatari ya Sarin.
Kumekuwa na wasiwasi kuhusu uwezekano wa kutumika mrundiko wa silaha za kemikali zilizopo nchini humo katika mzozo uliopo nchini humo ambao unaingia katika mwaka wake wa tatu.
No comments:
Post a Comment