Chinua Achebe mwana riwaya
maarufu wa Afrika na duniani kwa ujumla, amefariki dunia mjini Boston,
Marekani akiwa na umri wa miaka 83. Akijulikana kwa riwaya zake za
kusisimua hasa ile ya Things Fall Apart, alianza kuandika miaka ya
mwisho ya 1950 muda mfupi kabla mataifa mengi ya Afrika kupata uhuru.
Chinua Achebe afariki dunia.
No comments:
Post a Comment